TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Leo Africanus

The Typologically Different Question Answering Dataset

Alizaliwa mnamo mwaka 1490 kwa jina la الحسن بن محمد الوزان (Al-Hasan ibn Mohammed al-Wassan) katika mji wa Granada uliokuwa mji mkuu wa dola la mwisho wa Waislamu katika Hispania. Baada ya kutekwa kwa mji na Wahispania Wakristo 1492 familia yake ilihamia Fes (Moroko). Hapo kijana alisoma kwenye chuo kikuu cha Al-Qairawin. 

Leo Africanus alizaliwa mwaka gani?

  • Ground Truth Answers: 14901490

  • Prediction: